Tuesday, June 23, 2009

KOMANDO MATONYA, A CELEBRITY


Sikujua kwamba Tanzania kuna watu maharufu hata Matonya Komandoo (ombaomba) ni mmoja wa watu maarufu Tanzania????

Kama hauniamini, basi fuatilia hii linki. Mambo ya Jamii Forums.
http://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/31575-list-celebrities-bongo-12.html#post498521
List yangu ya Top 25 macelebrity Tanzania. Hawa wamechangia tanzania, au wamevuruga nchi kwa kiasi Fulani. Celebrity siyo lazime afanye mazuri siku zote, ni mtu anayevutia watu kwa mabaya na mazuri. Hawa ni macelebrity Hai
1. Amaritus Liyumba
2. Rostam Aziz
3. Reginald Mengi
4. Issa Michuzi
5. Jakaya Kikwete
6. Mashaka John
7. Dr. Salim Hamed Salim
8. Ze-Utamu Yusuf Manji
9. Dr. Shayo Hildrebrand
10. Rose Migiro
11. Zitto Kabwe
12. Dr. Slaa
13. Hasheem Thabeet
14. Charles Hillary
15. Anna Kilango Malecela
16. Lawrence Masha
17. Lady Jaydee
18. Edward Lowassa
16. Jetuu Patel
19. Alikiba Mange Kimambi
20. Andrew Chenge
21. Ben Mkapa
22. Professor Jay
23. Comandoo Matonya (ombaomba)
24. ZE-Comedy Original Team
25. Kubenea (Mwanahalisi)


Haya wadauzzz mwageni Datazzzz. hakuna filtering.

No comments: