Thursday, July 16, 2009

VITA DHIDI YA UFISADI NDIO UNAANZA, TUMENI HABARI NA PICHA

WATANZANIA, TUMECHOKA NA UFISADI, HII BLOGU IMEANZISHWA RASMI KWA AJILI YA KUUPINGA UFISADI. HAKUNA KITAKACHOZUILIWA LINAHUSIAANA NA UFISADI. PICHA ZA NGONO NA HUTUPU HATUTAKI LAKINI ZA UFISADI ZOTE ZINAKARIBISHWA

TUNAOMBA HABARI ZOTE NA PICHA ZINAZOHUSIANA NA UFISADI. MICHUZI ANAOGOPA, HAPA JIRANI SISI TUNAJICHUKULIA SHERIA YA KUWAANDAMA NA NI LAZIMA TUWAKOMESHE. HAPA HAKUNA MAJUNGU NI UKWELI, UFISADI LAZIMA TUUKOMESHE
MAPAPA
ROSTAM
CHENGE
MKAPA
LOWASSA
SUMAYE NA TAKATAKA ZOTE LAZIMA WALIONJE JOTO LA JIWE
TUMA HABARI KUPITIA Jamiiforums@yahoo.com . KADHALIKA UNAWEZA KUTUMA PICHA ZA MAFISADI UNAOWAJUA, WALA RUSHWA, NAKADHALIKA, TAJA WANAKOFANYA KAZI, NYADHIFA ZAO NA KADHALIKA......


TANZANIA DAIMA
JAMIIFORUM DAIMA

2 comments:

Anonymous said...

JAMII YA KITANZANIA TUMELAANIWA, WIZI WIZI, NA WIZI TU.

Anonymous said...

oyaa!! ili iweje sasa? doesn't help at all!! kama kula kama kw.... usiku utaingia na mtarara.....grrrrrr get a life....