Wednesday, May 27, 2009

JE JAMII FORUMS NI GLOBU YA YA KIBAGUZI

Ndugu Wadau
Nimelazimika kuwa mwana Bloga baada ya kuona jinsi walahoi tunavyonyanyaswa na wenye Nchi, na Mafisadi. uFISADI AMBAO UMEJITOKEZA HADI jAMII FORUM. Tunaomba maoni yenu kuhusu globu mpya ya jamii Forum

Kama mlalahoi, nami pia nimediriki kuanzisha Blogu ambayo ni ya aina yake kuonyesha kila kitu kitakachotumwa na wadau au makala yoyote itakayoandikwa.

Maoni yote yatabandikwa, hakuna mchujo hata siku moja kwa hiyo jisikie huru kuleta habari zako na pia ukae mkao wa kula kuosha vinya. Hii ni blogu ya walalaho na waosha vinywa. Nitashirikiana pamoja na mkuu wa nanihii katika kuwahabarisha, mafisadi nao wakae mkao wa kula kwani nao pia watapeta kusoma habari za kuchekesha

Karibuni Jamii Forum

2 comments:

Anonymous said...

Uliyeanzisha hii blog ni MSENGE tu

Anonymous said...

We anoy 9:56 PM ,jamani tuwe wastarabu, matusi ya nini kwa alieanzisha blog? kwani yeye ndio katoa hoja? watanzania hatupendi kujibu hoja ila kujibu kwa matusi na kashfa.kama mtu amemtuhumu Mbowe kwa ufisadi ni maoni yake nawe toa yako kupinga tena kwa hoja si matusi.Huo ni uhuni na dalili za mtu asiekenda shule.matusi ndio hoja zao.nenda kachangie mitandao ya matusi kwa wenzako.hapa tuachie watu tunaopingana kwa hoja.Kwani Mbowe mungu?