tag:blogger.com,1999:blog-7247800329632605326.post5609218522926139623..comments2013-11-19T01:58:39.420-08:00Comments on BLOGU YA KWANZA AMBAPO MAONI YOTE YANARUHUSIWA: FISADI MKUU TANESCO DR IDRIS RASHIDjamiiforum Where We Dare Talk Freelyhttp://www.blogger.com/profile/14534648766655277493noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7247800329632605326.post-59982456683768235362009-08-04T06:41:30.356-07:002009-08-04T06:41:30.356-07:00Hii nchi imekuwa kama shamba la bibi kila mtu anku...Hii nchi imekuwa kama shamba la bibi kila mtu ankuja na kuchukua kilicho chake na kuondoka wakati asilimia 80 ya watanzania wanendlea kuwa maskini wa kutupa..

Kwa wanofuatilia habari za tz na kuchambua uwezo wa viongozi wetu, binafsi naafiki kabisa kuwa uwezo wa raisi wetu JK ni mdog na hata u,ifuatilia hotuba zake hupati cha kuandika cha maana.

Kwa mfano jana alipokuwa anahutubia wakulima katka ufunguzi wa sherehe za nane nae huwezi kuamini kuwa maneno aiyoyatoa pale alikuwa anaongea kama Rais mwenye dhamana ya juu kabisa hapa tz. Alitaja kuwa tatizo kubwa la maendeleo ya watanzania ktk kilimo , JK ametaja anasa za Watanzania kuwa moja ya mambo yanayofanya sekta ya kilimo kushindwa kufikia malengo ya kuwa uti wa mgongo kwa uchumi wa Tanzania, kwani waTZ walio wengi wananunua magari ya kifahari badala ya matraktor ya kulimia. Jiulize magari ya kifahari yanayotumia na viongozi wetu.. hvi haoni kenya wamefanyaje mpka yeye ang'ng'anie ma GX V8 kwa kila kiongozi, pesa ya hayo magari ni matraktor mangapi.. Tunakata ngapi tushindwe kupeleka matraktor?
Jamani mlioko govt tunaomba waoneeni huruma watanzania wa kawaida maskiniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7247800329632605326.post-82777919358608205892009-08-04T00:23:57.558-07:002009-08-04T00:23:57.558-07:00your welcome dudeyour welcome dudeAnonymousnoreply@blogger.com